Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 May 20, 2012 #1 Habari wadau, Nimenunua heka 50 za pori la miti,nataka kuchoma mkaa,sasa wadau naomba kujua utararibu wa kufanya ili niweze kusafirisha mkaa kutoka morogoro kuja dar,kitu gani cha kufanya nisisumbuliwe njiani, kwa maoni unaweza ukanitumia: Email: estatetz@diplomats.com web: REAL ESTATE AGENCY
Habari wadau, Nimenunua heka 50 za pori la miti,nataka kuchoma mkaa,sasa wadau naomba kujua utararibu wa kufanya ili niweze kusafirisha mkaa kutoka morogoro kuja dar,kitu gani cha kufanya nisisumbuliwe njiani, kwa maoni unaweza ukanitumia: Email: estatetz@diplomats.com web: REAL ESTATE AGENCY