Kibali cha tiba mbadala

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
habari wana jamii...

Naomba msaada jinsi ya kupata kibari cha kutoa tiba mbadala au taratibu za kufuata ili kufungua helbal clinic........pia naomba mwenye website ya baraza la tiba asili na tiba mbadala anisaidie.

natanguliza shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mchakato ni mgumu sana

Jr[emoji769]
 
Ukishapata kibali cha kutoa tiba mbadala achana na maswala ya utapeli ndugu yangu...utakuja kuishia pabaya
 
wengi wa wanaoomba vibali na kujisajili ni wasanii matapeli ambao ni wale waliokuwa wanafanya mazingaombwe zamani mashuleni, waganga wa kweli wala huwa hawajitangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…