Asanteni sana,michango yenu imenipa uelewa mkubwa sana ktk hili swala,kwani projects nilizojenga zote hapakuwa na hati(hazijapimwa)msicheke ndio bongo yetu,kwani hata ma Architectures ,QS na Engineers wanajenga majumba mazuri na ya kifahari in squater Areas then ndo unaanza mchakato wa kupima kiwanja kukihalalisha.
Sasa nimekuwa na kiwanja in a Planned Area ndo naanza mchakato wa kuomba ramani etc.kwani kuna jirani yangu ktk hilo eneo ,watu wa Ardhi manispaa wamemsubiria Ameanza kujenga alipofikia usawa wa kuweka bati ,wamekuja wameweka X kubwa abomoe or Else aongee nao ,jamaa wanataka 9 milioni,(Rushwa),