Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Kwa sasa neno "kibamia" wala halihitaji definition kwani limekuwa maarufu sana ila mimi kama Critical thinker nimejaribu kufanya rearch kwa kutumia source mbalimbali ikiwemo interviews, social medias etc.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wawili waliopendana wakitendana na kuanza kutamkiana au kutangaziwa eti nimeachana naye kwa kuwa ana kibamia.
Tafiti zangu zinaonyesha ni kweli wanaume wa sasa wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na sababu zipo wazi ila bado naendelea kutafuta jibu kuhusu swali la je kibamia kwa miaka hii kinasababishwa na nini?
Maiaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kusikia tafsida hii na ndipo swali langu lilipo ibuka yakuwa je " wanaume wa sasa huzaliwa na maumbile madogo kupita miaka ya nyuma au wanawake wa sasa huzaliwa na maumbile makubwa kuzidi wanawake wa miaka ya nyuma ? Kwani kitu hupimwa kwa kitu inaweza ikawa gari ni kubwa ila kama parking ni uwanja lazima itaonekana ndogo?
Katika ndharia hiyo nilipata majibu yakuwa inaweza ikawa sawa kwani watoto wakike wa sasa huanza mabo hayo mapema sana hivyo sehemu zile zinaharibika haraka sana japo sijatoshelezwa na jibu hilo.
Kwa kuwa miaka ya nyuma technology ilikuwa chini ndio maana hatukujua yote haya kwani hivi sasa wanawake wapo huru sana kufunguka tofauti na zamani?
NB
Sifurahishwi kabisa na msimu huu "kibamia" na unanikera sana ila swali langu ni kwamba kulikoni hili swala linakuja kwa kasi hivyo kufikia kutumiwa hata na watu wazima?
Wanawake fungukeni what's up?