Kibamia kimenikosesha mrembo hivi hivi!

Kibamia kimenikosesha mrembo hivi hivi!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Nimetoka zangu job mida ya jioni jioni, nimechoka kimtindo! Nimepaki ka baiskeli kangu sehemu kununua chochote kwa ajili ya usiku (mlo) Gafla kuna mtu anaiita kwa nyuma, ni mdada ninayemfahamu kwa kiasi flani,

Tunasalimiana na kuulizana habari za kutwa, Enhee leo naenda kwako naamini pale unaishi peke yako kwasababu sijawahi kumwona mwanamke yoyote pale tokea nikufahamu, hivi huna hata girlfriend?

Leo ngoja nikakupikie nikacheka kidogo, nikamuuliza utaweza kunipikia wewe? Yaah! I can we niambie tu unapenda nini! Acha hizo wewe, kama ningekuwa nahitaji kupikiwa si ungeona tu?Hee we kwani unashida gani? binti akaniuliza.

Nikamwambia kwa sauti ya chini, shida yangu mi nina kibamia!! that's why sipendi kabisa mahusiano na mwanamke yeyote yule around mh binti kaguna kumbe ndiyo hivyo?

Na unaujasiri kweli hadi unasema!ila siyo issue sana coz sikuwa pia na wazo hilo. Pole sana, wanaume wengine tuwaone tu hivi na urefu wote huo bado unatatizo! Dada akaaga, na mimi nikanyanyua zangu.

Kibamia noma kweli!Dawa yake ni nini?
 
kiwatengu

Mkuu unamaanisha vibamia kama hizo?
Lakini mbona nazenyewe zina mbegu!?
 

Attachments

  • 1443554042761.jpg
    1443554042761.jpg
    6.5 KB · Views: 960
Last edited by a moderator:
Jifunze jinsi ya kukitumia.. Maana ukute mtu ana kibamia halafu hata kukitumia hajui mayonene ni sheeeda
 
Back
Top Bottom