Kibamia kinanikosesha amani

genious wa kijiji

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
173
Reaction score
249
Nikimalizaga goli la kwanza kibamia kinakuwa legelege sana. Mtalimbo unalala doro hadi naona aibu mbele ya mkunwaji. Nahisi ni kutokana na kupiga puli kwa muda mrefu.

Nifanyeje jamani.
 
Yaezekana ndo ulivo zaliwa nacho hicho kibamia, hivyo kula vyakula vyenye nguvu, punguza pombe kama wewe ni mtumiaji,then ongeza juhudi za mbwe mbwe ukiwa kitandani.(ujuzi) Na uache puli itakula kwako usipokua makini..
Ondoa aibu usoni, nenda kawaone wataalamu wa afya hospitalini,
NB: usikurupuke kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume, mengi ni kanjanja utachanganyiwa na viagra ndo utazidi kujifia...

Tatizo likizidi waone wataalam wa tiba mbadala kama kina mwaka,sigwa n.k
 
Reactions: THT
pole sana kula vyakula kama dona ugali wa muhogo na vingine vyenye kuupa mwili nguvu na fanya mazoezi ya viungo na hata kukimbia hii itasaidia sana kua stable
 
Kuna recipe na mapishi ya bamia mbali mbali na hunoga sana kwa mlaji. Hadi juice ya bamia ipo........

Hapo unahitaji ujuzi tuu, siku hizi kila kitu ni mali ghafi hakuna taka, ulichonacho unaji - upgrade unajisosomola na wewe sio kuona ndo mwisho wa dunia.

Kuna somo na darasa la kutumia na kuandaa mapishi ya bamia ili mlaji asitamani mihogo matango wala ndizi bukoba.

Uamuzi ni wako....... kujifunza kupika au kwenda kukombelezea mboga kwa jirani uzidi kusimangwa.

Kasie.
 
Dada inabid uwe kungwi nikitaka kuoa.. Umetisha aisee[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…