Kibamia kinanikosesha amani

njoo kwangu ntakiamsha hata goli 3.... kilale kwanini?

Mwambiye abadili muke ake au hiyo bibi yake. Atafute mapapa yaliyoshiba yenye kujua kufufua hata wafu. Ka unalala na wale wanaangalia pembeni na mdomo kang'ata meno ka mnagombana, Hakika lazima kitu ilale.
Tafuta wameza muhogo na kulamba koni
 
Anza tu kuwa Kungwi maana umetisha sana

Haya bana duu mie hata sikujua kama naweza kuwa kungwi. .... itabidi niwatafute wakaka wa mjini wawe wananipigia chapuo kwenye bachelor's party.
 
Haya bana duu mie hata sikujua kama naweza kuwa kungwi. .... itabidi niwatafute wakaka wa mjini wawe wananipigia chapuo kwenye bachelor's party.
Mm najitolea kuwa Ambassador no 1 kwako. Hakika Leo ulinikosha kwa maneno yako. Nikipata tu nakusanua.
 
Mm najitolea kuwa Ambassador no 1 kwako. Hakika Leo ulinikosha kwa maneno yako. Nikipata tu nakusanua.

Asante kwa tuko best...

Heeee mara yamekuwa ya kusanua tena......😱😳
 
Aisee we noma itabidi tukutafutie semina za wana ndoa.
 
Kibamia chako kina upana na urefu kiasi gani?
 
Nikimalizaga goli la kwanza kibamia kinakuwa legelege sana. Mtalimbo unalala doro hadi naona aibu mbele ya mkunwaji. Nahisi ni kutokana na kupiga puli kwa muda mrefu.

Nifanyeje jamani.
Aisee huku jf noma sana, kuna watu wakuda balaa...Mkuu fanya mazoezi ya kigeli na jelque...ndani ya siku 60 utaongeza 2nch au zaidi...na itakuwa ngumu kama msumary.
 
Dawa ya moto ni moto... Endelea kupiga puli. Wanaume wa Dar hamuishiwi na haya matatizo? Duuh!, mbona mabango ya matangazo ni mengi sana hapo Dar, vipi hawatoshi?
 
Nikimalizaga goli la kwanza kibamia kinakuwa legelege sana. Mtalimbo unalala doro hadi naona aibu mbele ya mkunwaji. Nahisi ni kutokana na kupiga puli kwa muda mrefu.

Nifanyeje jamani.
Usihofu mie nipo kwaajili ya Rescue Team na hakika sitokuangusha bora wewe umesema ukweli kuliko wale wanaovunga na kusaidiwa kimyakimya na watu kuanza kuwasema mitaani.
Wewe TIBA ushapata hakika, ila ili nisizidiwe maana nina majukumu Mengi kweli kweli fanya yafuatayo;
1. Badili vyakula na kula mlo mkamifu kama uchumi wako siyo mbaya sana maana nalo hili husababishwa na khali iliyoletwa na swisswism toka enzi za uhur hadi leo watu wake nchi ya Kusadikika kushindwa hata kupata Mlo mmoja TU.
Yaani achana na vilaini kama chipsi mayai na kuku wa wiki moja ambao huenda wanalishwa kwa kupewa ARV's, kula vyakula vya asili na kupenda kula vyakula visivyo na mafuta kwa wingi.
2. Kapime Presha,Sukari n.k. maana huenda ni magonjwa hayo pia husababisha.
3. Punguza/Acha kabisa kama inawezekana Stress (Msongo wa Mawazo) wakati ukiwa kwenye Game.
4.Pata maandalizi na muda wa kupumzika ili mwili hujengeka na kuwa Mental na Physical Fit.
Hili ni Janga ni kubwa sana hasa kwa nchi zinazoendelea kama Tanznia maana umasikini pia huchangia sehemu KUBWA SANA, na hata nchi zilizoendelea ila ni kiasi kidogo sana huwezi kulinganisha na Nchi masikini hasa umasikini wa Akili tena ambayo ndiyo mbaya kuliko umasikini wa Uchumi/Fedha.
Ni kwa ufupi tu nimekupa dondoo ila usi mind sito kupigia Chura wako,just Jokes man...take action seriousely and urgently from now.
 
asante sana ntafanyia kazi dondoo zako. natamani kuendelea kusikia kutoka kwako. karibu
 
Dawa ya moto ni moto... Endelea kupiga puli. Wanaume wa Dar hamuishiwi na haya matatizo? Duuh!, mbona mabango ya matangazo ni mengi sana hapo Dar, vipi hawatoshi?
dawa ya moto siku hizi ni maji. inaonekana huko mikoani hampati updates mbalimbali.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…