genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
- Thread starter
-
- #61
nijulishe kuhusu mazoezi hayo au nipe link niyafuate.Aisee huku jf noma sana, kuna watu wakuda balaa...Mkuu fanya mazoezi ya kigeli na jelque...ndani ya siku 60 utaongeza 2nch au zaidi...na itakuwa ngumu kama msumary.
Aaaaahhhhh kutaftana yanini tena, weka wazi hapa na wengine wenye tatizo hilo wajifunze,... So kila mtu akufate kwa phone,... Toa mtiba hapa watu wajitibu mkuuuNitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide..doctor wa tiba nguvu za kiume..
Hata kama unamguu wa mtoto baada ya mechi huezi baki kama ulivyoNikimalizaga goli la kwanza kibamia kinakuwa legelege sana. Mtalimbo unalala doro hadi naona aibu mbele ya mkunwaji. Nahisi ni kutokana na kupiga puli kwa muda mrefu.
Nifanyeje jamani.
Ingia google na youtube mkuu yatafute....yanasaidia sana na ni proved....nitakuandalia script uipitie kama nitapata muda coz siyo issue ya chapchap.nijulishe kuhusu mazoezi hayo au nipe link niyafuate.
huenda bamia itageuka kuwa muhogo mchungu