mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
Ukisikia kibanda, Hicho ni kibanda kweli kweli,Jamani ni macho yangu yanapata shda kuangalia hiyo picha au?
Mkuu acha kudharau biashara huwezi jua huyo anayeuza ana tatizo gani,kibanda kipo poa sana nimekipenda sio cha mbao.Mtu bora ununue pipa ukae ndani kuliko hiko kibanda!
Maana pipa ni wastani wa 50k!
π π π πUkisikia kibanda, Hicho ni kibanda kweli kweli,
Maana hapo hata wale mbilikimo wa misitu ya kongo hapo lazima afikirie mara mbili mbili kuingia humo.
hapo wakija majibaba wanakibeba kibanda na mtoa huduma akiwepo humo humo ndani wanaenda kufanyia mahesabu mbele.