Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Viongozi wanapiga pesa kibanda hicho hakiwezi kufika hata Shilingi Milioni 4 Looohh Majangaa kweli. Ama kweli Kazi iendelee........Hongera Mama Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhaifu sana na mkupukajiMikwara ya PM tu, kibanda cha mlinzi tanesco alikuta gharama M17 na alipiga mkwara hivyohivyo ila hadi leo hakuna aliyewajibishwa
Choo cha diamond 70 m.Nenda Hotspring ( Kikuletwa) uone choo Cha million 25
Kumbuka cha diamond kina dstvChoo cha diamond 70 m.
Hakuna kitu muhimu kw abinadamu kama ni uzima wa Afya huwezi kuupata hospitali hata uwe Milionea au Bilionea .Uzima kitu muhimu sana. Pesa na Uzima bora nini?Ila binadamu sijui tumeumbwaje yaani. We mzee unavyowapiga watu na bei ya midawa Yako unaona sawa kabisa unashangaa bei ya hiki kinanda kuongezwa ( kama ni kweli)
We unaona mabei Yako ni sawa kabisa?