Kibanda kimeota nyasi

Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Apo tusidanganyane aiseee Barca hamuachi mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Barça msijidanganye hajachukua UEFA kitambo hivyo hamtabaki salama Man Utd kama Ferguson alitetemeka Ole Sendeka atacheza kwangwaru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni mpira..........ila United out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…