MGODOLO
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 209
- 174
Kibanda mkokoteni, maalumu kwa kuuzia nguo.
Kinauzwa, bei poa na ni tofauti na mikokoteni yote (karibu) +255755360768 location:- arusha
sifa za kibanda hiki;
Kwanza kabisa kibanda hiki hakipo sehemu nyingine yeyote ile tanzania, kipo Arusha na ni kimoja tu. pia ukitaka kutengenezewa chako tutafute kwa namba hio.
(1) Ukinunua kibanda hiki, utapewa na nguo zote ulizo zikuta ndani ya kibanda hiki (nguo zinazouzwa hapa ni Kadeti na Jinsi, ila utaamua wewe, ni aina gani ya nguo utauza).
(2) Kibanda hiki kina matairi kama tunavyo kiona, Ila kinatembea kwa mfumo wa kusukuma
(3). Kibanda hiki Kina uwezo wa kubeba Beli mbili za nguo,(Beli zenye Pcs 100) (kama una nguvu za kusukuma beli zote).
(4) Kibanda hiki kina uwezo wa kufunguka pande zote mbili, yaani unaweza kukifungua vile upendavyo, kwa kuangalia ni upande gani watu wengi hupita.
(5) Kibanda hiki kina makabati mawili, katikati yake, juu na chini, ila kwa mimi kabati la chini nimelifanya stoo ya kuwekea zana, (kama vile maturubai).
(6) Kibanda hiki kina pande mbili, na kila upande, unaweza kupanga Suruali 32, Jumla ya pende zote utapanga suruali 64.
(7) Kibanda hiki kina bomba za pembeni mbili mbili kila upande kwa lengo la kuweka henga, bomba hizo zinachomoka, na zina matundu kwa lengo kuwekea henga.
(8) Unaweza kukata kona kwa kutumia stelingi ya gari, kama unavyo iona, lakini pia unaweza kutoa stelingi kisha ukatumia Tairi ndogo, zinakata kona zenyewe.
(9) Kibanda hiki, kina Turubai lake Original (Ambalo unaweza kufunika baada ya kufunga kazi, Mvua ije na mama yake hutokuta nguo ilio loana).
(10) Kibanda hiki, hakina kipengele cha tatizo lolote, Nakiuza kwa shida zangu binafsi.
Napatikana Arusha, Sinoni... bei mil. 1 maongezi yapo.
Simu moja tu, tunakutana na kufanya biashara 0755360768.
karibuni wote, bado kipo.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app