Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

HAKIMU: Upande wa Jamhuri mmebakiza mashahidi wangapi?

JAMHURI: Mashahidi 10 Mheshimiwa.

HAKIMU: Kama mashahidi wenyewe ni kama huyu, nashauri mulete watatu watatu.

MAHAKAMA: (Kicheko).

HAKIMU: Namaanisha kama watatoa ushahidi mfupi kama huyu basi waje watatu watatu ili tumalize haraka.

JAMHURI: Sawa Mheshimiwa.

HAKIMU: Kesi imeahirishwa
 
KIBATALA: Pole sana Shahidi, unajisikia vibaya?

SHAHIDI: Hapana.

😂 😂
 
Nimejikuta Nacheka Sana 🤣🤣🤣🤣
 
Uana sheria ni taaluma nzuri ukiimaster
 
Kesi ya Mbowe na hi ni uthibitisho tosha kabisa kwamba, tuna tatizo kubwa mno ndani ya ofisini ya mwana sheria mkuu wa serikali na DPP. I hope DPP kabla ya kuwaleta mashahidi hawa mahalamani huaga nae ana jiridhisha kuhusu ubora wa mashahidi wake, anajua anakwenda kupambana na mawakili wa sekta binafsi ambao kichwani wapo NJEMA kuliko wao, sasa najiuliza, hivi yeye anaulizaga maswali gani ili ku test kama wanaweza or NOT? Kama huaga hafanyi hivo then waache kuwadhalilisha police wetu, hi ni AIBU. Police akikataa kwenda mahakamani ataonekana mtovu wa nidhamu, huyu bwana ana mke na watoto na ndugu wengine wanao mtegemea, aibu kama hi si inamuondolea hata heshima nyumbani na mtaani kwake? DPP bora aifute hiyo kesi haraka, wanakwenda kudhalilika wengi huko. Ndio maana kumbe kila kesi huko duniani huaga tunapigwa, watendaji ndio hawa. Binafsi hapa siwalaumu police hata kidogo, nailaumu ofisi ya DPP na mwana sheria mkuu wa serikali, police wao ni kufata maelekezo tu, ni kama robots tu
 
Kama nilikuwa naangalia movie!
 
"SHAHIDI: Labda anafahamika na familia yake". Jibu hili limeonesha shahidi yuko chama kipi cha siasa, yaani kwa mujibu wa chama chake hamtambui, angejibu anamfahamu ingeonesha walikwenda kumpeleza kiongozi wa Chadema na si mtu asiyemfahamu.
 
Tunaomba hivi vichekesho vya kwenye kesi viwekwe kwenye vitabu aisee,hii inaondoa stress😀
 
Maskari wana jeuri hadi kwa mahakimu. Yaani anajibu anavyotaka yeye kwa kibri cha wazi kabisa.

Hizi kesi za michongo ni shida sana
 
"SHAHIDI: Labda anafahamika na familia yake". Jibu hili limeonesha shahidi yuko chama kipi cha siasa, yaani kwa mujibu wa chama chake hamtambui, angejibu anamfahamu ingeonesha walikwenda kumpeleza kiongozi wa Chadema na si mtu asiyemfahamu.
AJABU SANA KWA IDARA NYETI KM HYO KUJAZWA UVCCM VILAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…