Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

Kwanza umetunga mkuu,Mimi Huwa napenda sana mahojiano lakini hakuna staff sergeant mwenye pf 29 .
 
Cross examination ya hovyo sana hii, hapa Kibatala ni yeye ndio alikuwa anapoteza muda
 
AJABU SANA KWA IDARA NYETI KM HYO KUJAZWA UVCCM VILAZA
Alidhani atawafurahisha mabosi wake kumbe amewaangusha mpaka upande wa mashitaka unaambiwa kwa ushahidi huo bora wapeleke mashahidi watatuwatatu! Inamaana mashahidi wa kutunga.
 
Cross examination ya hovyo sana hii, hapa Kibatala ni yeye ndio alikuwa anapoteza muda
Yaani mpelelezi anakwenda kumpekua mtu asiyemjua! Na hakuwauliza wenzake! Pamoja na mambo yote ya msingi aliyotakiwa ayatimize kabla ya ukaguzi yeye hakuyatimiza!
 
Hiyo
Yaani mpelelezi anakwenda kumpekua mtu asiyemjua! Na hakuwauliza wenzake! Pamoja na mambo yote ya msingi aliyotakiwa ayatimize kabla ya ukaguzi yeye hakuyatimiza!
Huyo ni dereva kazi yake ni kuendesha, ushahidi wake ni Juu ya kile tu alichokishuhudia.

Huwa nasoma cross examination nyingi zinazofanywa na Kibatala, this time amefeli pakubwa. Maswali yote hakuna hata moja linalolenga kuunganisha/kufifisha credibility ya shahidi na tukio
 
Hivi mnajua hata Cross examination kwenye kesi ni nini?Au mnaandika kufurahisha genge?
 
Hakimu sio kada?
 
Aiseee hilo ni tatizo sana. Wenzetu kuwa mpelelez wana wualification za juu sana, colledge degree, wengine mpaka masters.

No wonder mfumo wetu wa justice una matatizo, a lot of un qualified individuals wako kwneye huo mfumo
Hii ni common sense tu. Kupeleleza inabidi uwe na akili kubwa. Unafikiria zaidi ya upeo wa unayempeleleza. Sasa form four kweli?
 
"SHAHIDI: Mimi ni Mpelelzi lakini pia nafanya kazi kama dereva". Unataka kuniambia kuwa wewe unamjua sana kuliko anavyojijua yeye!
 
Mimi ningekuwa Askari hlafu munichague nikatoe ushahid Mahakamani na Wakili ni Kibatala Wallah siendi, bora km vip kazi mnifukuze dadeki, maana jamaa linauliza maswali had minyoo inajichekea tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…