Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

Kama mademu wenyewe ndio hawa, asilimia 90 tutaugua miwaya.

J Nature
Kwanza umetunga mkuu,Mimi Huwa napenda sana mahojiano lakini hakuna staff sergeant mwenye pf 29 .
πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwanza umetunga mkuu,Mimi Huwa napenda sana mahojiano lakini hakuna staff sergeant mwenye pf 29 .
Nimeyaleta kama yalivyotolewa mahakamani.. Sijaongeza sijapunguza neno
 
Nimejikuta naengua kicheko , Kibatala Mungu anamuona lo
 
SHAHIDI: ofisi ya ZCO kanda maalumu Dar.

KIBATALA: Majukumu yako?

SHAHIDI: Mimi ni Mpelelzi lakini pia nafanya kazi kama dereva.
 
Mbona unamkandamiza, hivyo aliidanganya mahakama kwa kusema yeye ni mpelelezi, alivyosema yeye ni mpelelezi ila anafanya na kazi ya udereva inaeleweka zaidi na inaondoa mashaka.
SHAHIDI: ofisi ya ZCO kanda maalumu Dar.

KIBATALA: Majukumu yako?

SHAHIDI: Mimi ni Mpelelzi lakini pia nafanya kazi kama dereva.
 
Ng'ombe kama hii ndiyo inapaswa kulinda raia na mali zao. Jeshi la polisi huwa wanawaokota wapi hawa watu?
 
Huyu shahidi wa jamhuri, ndio kaniaminisha huko Polisi kuna vilaza, mpelelezi anakua na Elimu ya 4m 4? Na ukute alipata 0 au 4.

Afu sasa anavojibu kinduna, anahisi yuko kituoni kwake, hata taratibu za mahakama hazijui Lol.

Ila nimecheka sana, hadi mbavu zinauma, shahidi kadhalilika haswaaa.
Lakini Kibatala anajua kunyoosha mapimbi wa sare za khakhi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM hebu acheni kuwaaibisha hawa watumishi wa umma, inatia huruma mno. Ushahidi wa uongo ni mgumu mno ukiwa kizimbani. Kama mnabisha mtafuteni Kingai atawahakikishia mambo haya - unaweza kuomba panadol.
 
SHAHIDI: Elimu yangu ni Form Four.

KIBATALA: Kumbe ndiyo maana ulikuwa unakataa kutaja? Sikuulizi ulipata division ngapi usije ukashindwa kuendelea na ushahidi
πŸ‘† hiii nimecheka saana.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…