๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.... DahHAKIMU: Upande wa Jamhuri mmebakiza mashahidi wangapi?
JAMHURI: Mashahidi 10 Mheshimiwa.
HAKIMU: Kama mashahidi wenyewe ni kama huyu, nashauri mulete watatu watatu.
MAHAKAMA: (Kicheko).
HAKIMU: Namaanisha kama watatoa ushahidi mfupi kama huyu basi waje watatu watatu ili tumalize haraka.
JAMHURI: Sawa Mheshimiwa.
HAKIMU: Kesi imeahirishwa
Unapoteza kumjibu huyo. Hata yeye ni kichekesho tu.. we furahi hia tu. halafu pita"SHAHIDI: Mimi ni Mpelelzi lakini pia nafanya kazi kama dereva". Unataka kuniambia kuwa wewe unamjua sana kuliko anavyojijua yeye!
Naye ni polisi na ni shahidi, ni yule kikojozi wa kesi ya Mbowe aliyekuwa anaenda chooni na simu ili apewe maelekezo.Ah pengine ndio shahidi mwenyewe๐๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Halafu wanatumwa kuwadhibiti wasomiNdiyo maana ccm wanajivunia kuwamiliki hawa viumbe adimu duniani! Yaani mtu anaajiriwa na elimu ya form IV! Tena ni ile inayokaribiana na division 0!
Anahojiwa mahakamani na wakili, anajibu madudu tu.