Kibatala na Somo kwa Wachumia tumbo

Kibatala na Somo kwa Wachumia tumbo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Wakili Peter Kibatala ameweka wazi nini maana ya mtu kusimama na anachokiamini:

Wako wapi kina Kabudi na kina Pole pole wa tume ya Warioba? Yuko wapi Bashiru wa kabla ya kuteuliwa?

Uzalendo wa ndugu hawa ni kwenye matumbo yao tu?

IMG_20210707_084839_278.jpg

Baba wa Taifa mwalimu Nyerere (rip) aliwaona vyema watu kama hawa.

Kingunge aliyeandika katiba 1977 akiwa na kina Msekwa aliyasema haya:

IMG_20210707_085335_184.jpg

Profesa Kabudi, Bashiru, Pole pole na wa aina zenu tunawaelewa sana, yaani kuliko ya sana.

Au nasema uongo ndugu Pascal Mayalla na wapambanaji wenzangu?
 
Siyo binamu yake na MTU wa kilosa Zekabudi
 
Wakili Peter Kibatala ameweka wazi nini maana ya mtu kusimama na anachokiamini:

View attachment 1844239

Wako wapi kina Kabudi na kina Pole pole wa tume ya Warioba? Yuko wapi Bashiru wa kabla ya kuteuliwa?

Uzalendo wa ndugu hawa ni kwenye matumbo yao tu?

View attachment 1844205

Baba wa Taifa mwalimu Nyerere (rip) aliwaona vyema watu kama hawa.

Kingunge aliyeandika katiba 1977 akiwa na kina Msekwa aliyasema haya:

View attachment 1844224

Profesa Kabudi, Bashiru, Pole pole na wa aina zenu tunawaelewa sana, yaani kuliko ya sana.

Au nasema uongo ndugu Pascal Mayalla na wapambanaji wenzangu?
 
Bila kuumana hatuwezi kufika. Acha uchaguzi uwe wao wa namna gani tunakwenda.

IMG_20210620_101733_140.jpg

Muda wa kuangalia namna ya kuwafidia wahanga wetu.

Masheikh wa uamsho walishaonyesha njia.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom