Wakili Peter Kibatala ameweka wazi nini maana ya mtu kusimama na anachokiamini:
View attachment 1844239
Wako wapi kina Kabudi na kina Pole pole wa tume ya Warioba? Yuko wapi Bashiru wa kabla ya kuteuliwa?
Uzalendo wa ndugu hawa ni kwenye matumbo yao tu?
View attachment 1844205
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere (rip) aliwaona vyema watu kama hawa.
Kingunge aliyeandika katiba 1977 akiwa na kina Msekwa aliyasema haya:
View attachment 1844224
Profesa Kabudi, Bashiru, Pole pole na wa aina zenu tunawaelewa sana, yaani kuliko ya sana.
Au nasema uongo ndugu
Pascal Mayalla na wapambanaji wenzangu?