Ndio ujue kazi ya poyoyo ni upoyoyo kama huoKamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu.
Lilikuwa ni swali la kimtego sana hiloAlimpatia alipomuuliza, 'wewe Ni mwanaume au mwanamke'
Dogo hakujua Kuna kitu mbele ....
Yaani wewe mama unalishutumu geshi letu linaajiri mapoyoyo tena kwenye nafasi za uongozi kabisa?
Omba msamaha haraka.
Nabishana na ukuta.Ubishi sio akili
Upolisi ni losers jobkigezo cha askari si kilekile div IV failure au wamebadili?, kule hawatumii sana akili...ni nguvu tu, mambo ya kutumia akili hawahusiki nayo...mnawaonea huko mahakamani
Siyo ukondoo?Upolisi ni losers job
Hizo hoja zako za kashfa za dini sina muda nazo.Siyo ukondoo?
Unajua uzito wa SSP?Patamu sana
Huyo SSP mwenyewe naye ni mwepesi kama karatasi