Captain Doug
Member
- Jul 24, 2015
- 60
- 20
kibaya zaid ni pale ambapo mtu kajikunja kuandaa post aweke humu jf hasa kwenye hili jukwaa akijua watu watacheka na kureply lakini wapi wajanja wanatoa view kibao, reply 0...nahisi hata hii imebuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huhuhuh Mr.poppah insonekana imekugusa sana...mada zako zinatupagwa kapuni sana nini?.Unaweza kunambia uhusiano wa kilichoandikwa na kujiunga jana...futa povu Mr have funnySio kosa lako, inaonekana umejiunga JF sio muda mrefu