Captain Doug Member Joined Jul 24, 2015 Posts 60 Reaction score 20 Sep 18, 2016 #1 kibaya zaid ni pale ambapo mtu kajikunja kuandaa post aweke humu jf hasa kwenye hili jukwaa akijua watu watacheka na kureply lakini wapi wajanja wanatoa view kibao, reply 0...nahisi hata hii imebuma
kibaya zaid ni pale ambapo mtu kajikunja kuandaa post aweke humu jf hasa kwenye hili jukwaa akijua watu watacheka na kureply lakini wapi wajanja wanatoa view kibao, reply 0...nahisi hata hii imebuma
poppah JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 630 Reaction score 548 Sep 18, 2016 #3 Sio kosa lako, inaonekana umejiunga JF sio muda mrefu
Captain Doug Member Joined Jul 24, 2015 Posts 60 Reaction score 20 Sep 18, 2016 Thread starter #4 poppah said: Sio kosa lako, inaonekana umejiunga JF sio muda mrefu Click to expand... huhuhuh Mr.poppah insonekana imekugusa sana...mada zako zinatupagwa kapuni sana nini?.Unaweza kunambia uhusiano wa kilichoandikwa na kujiunga jana...futa povu Mr have funny
poppah said: Sio kosa lako, inaonekana umejiunga JF sio muda mrefu Click to expand... huhuhuh Mr.poppah insonekana imekugusa sana...mada zako zinatupagwa kapuni sana nini?.Unaweza kunambia uhusiano wa kilichoandikwa na kujiunga jana...futa povu Mr have funny