Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Kwahiyo hiyo meli siyo maendeleo?Chini ya CCM maendeleo ni mwiko nchi hii.
Ni suala la muda tu kabla haijatelekezwa kwani mwenye nia nayo alishatangulia mbele ya haki. This is CCM bwana, hatutaki maendeleo hapa nchini.Kwahiyo hiyo meli siyo maendeleo?
Wazo la kingese sana hiliNi suala la muda tu kabla haijatelekezwa kwani mwenye nia nayo alishatangulia mbele ya haki. This is CCM bwana, hatutaki maendeleo hapa nchini.
Sasa huoni kama wewe ndiyo mwenye akili ndogo kuwaza haya uliyoandika?Wazo la kingese sana hili
Kwani hiyo meli jiwe nsio angekua anapanda na kuiendesha na kulazimisha watu wapqnde?
Wabongo mmekua na akili ndogo sana
Lord have mercy