Kibibi Kizee cha Turin ndio mwisho wa enzi ya Waspaniola?

kerubi afunikaye

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
1,183
Reaction score
1,060
Timbwili la Juve linaweza kuwakuta wote watatu,Barca robo fainali,Atletico na Real mmojawapo nusu fainali na mwingine fainali.
Wa kuzuia kimbunga hiki ni Barca tu,akipigwa yeye leo basi huenda aibu inakuja Spain yote.
 
Barca hauwezi kupita na mwisho wao ni Leo. Juve sio PSG.
Kweli mkuu.
Kuipata tofauti ya goli 3-0 kwa kumfunga Juve ni shughuli ngumu sana.
Yaani ampige 3 au zaidi na kumzuia asipate bao?ni mlima mrefu kuupanda.
 
Nou Camp hawataki tena kukisikia Kibibi Kizee.
Hii ni mara nyingine Nou Camp inakaa kimya pale Kibibi akitua zake Catalunya.
Mara ya mwisho ilikuwa 2003 au 2002 nadhani,Barca alitoka droo Italia,akaja kupigwa Nou Camp.
Safari hii kapigwa Italia,katoa droo Nou Camp!
Jamaa wanamchezea sharubu wanavyopenda.
Who is next?Waspaniola tumbo joto,ni lazima kuna victim mwingine wa bakora za Kibibi ndani ya Spain.
 

Walio baki mimavi mbwa mbwa mbwaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…