Hafi mtuKuna mmoja atakufa
Poa Poa MkuuNgoja tuone, mpira dk 90
-kocha gani mzuri hakuwahi kufungwa mkuu?Allegri ni kocha mbovu sana. Kwa makacho kama wale ndio wanaochelewesha mafanikio kwenye timu.
-kocha gani mzuri hakuwahi kufungwa mkuu?
-allegri amefungishaje?Ishu sio kufungwa, Ishu ni kufungisha.
Yeah comeback ilinipa hela ya supu leo asubuhiNilikuambia
Come back za United tangu ile ya united vs city,United vs Brighton na ya jana ikifika dk ya 80 nacheza live at full time Sport Pesa,United kushinda alipewa points 29Ha ha ha