matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Tunaendelea kuomba amani gaza.
Mungu alipomuita ibrahimu aliahidi kupitia uzao wake dunia nzima ibarikiwe. Uzao wake alimaanisha Yesu kitukuu cha vitukuu wa adam.
Sasa Yesu anapokufa na kufufuka mfumo unabadilika. Muisrael au mtoto wa Ibrahim ni yule atakayemuamini Yesu.
Hivyo hawa wanaojiita wayahudi wayahudi ni sawa na waislam ni sawa na wabudha na dini za kikristo zinazomdogosha Yesu.
Nchi mpya aliyahidi Mungu sio gaza, kwenye mavumbi, mbu na ukame, sio Kibbutz ambako watu wanaishi kwa kuforce.
Ni ile nchi mpya na mbingu mpya baada ya Mungu kufuta hii dunia na wote watakaomkataa Yesu.
Warumi 9:6
Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka. Maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.