Kibiblia, nguruwe ni halali kuliwa

Kibiblia, nguruwe ni halali kuliwa

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Huu hapa ufafanuzi

Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi.

Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa
Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa damu. Tunaliona hili Kwa nuhu baada ya gharika.

Kipindi Cha tatu. Mungu anatoa maagizo ya kula vyakula Fulani na vingine visiliwe ikiwemo NGURUWE.

Tunaliona hili ktk kitabu Cha ambo ya walawi.

Kipindi Cha nne. Tunaona Tena Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyote. Hii tunaliona pale ambapo Yesu aliwaagiza wafunzi wake kula vyote vitakavyoweka mbele Yao.

Tena tunaliona ktk kitabu Cha Marko Yesu akitakasa vyakula vyote ikiwemo NGURUWE.

Kipindi hiki Cha maongozi ya Mungu ni kipindi Cha Yesu. Kwa hiyo Sheria ambayo tunapaswa kuitii ni ya kula vyote japo bado damu imekatazwa yaani kisusiyo.

Mungu wetu amekuwa akibadilisha Sheria mara Kwa mara kama yeye mtunga Sheria. Yesu alisema waziwazi kwamba watu wanapotea Kwa kutojuwa maandiko na uweza wa Mungu.

Kwa maelezo haya mafupi nahisi umepata kitu
 
Wewe lengo lako nini kuwasshtua watu....iendeleee kukatazwa ili tule wachache
 
Hapo kwenye kisusio bhana wacha tuu moto unihusu huko jehanam
 
Huu hapa ufafanuzi
Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi.
Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa
Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa damu. Tunaliona hili Kwa nuhu baada ya gharika.
Kipindi Cha tatu. Mungu anatoa maagizo ya kula vyakula Fulani na vingine visiliwe ikiwemo NGURUWE. Tunaliona hili ktk kitabu Cha ambo ya walawi.
Kipindi Cha nne. Tunaona Tena Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyote. Hii tunaliona pale ambapo Yesu aliwaagiza wafunzi wake kula vyote vitakavyoweka mbele Yao.
Tena tunaliona ktk kitabu Cha Marko Yesu akitakasa vyakula vyote ikiwemo NGURUWE.
Kipindi hiki Cha maongozi ya Mungu ni kipindi Cha Yesu. Kwa hiyo Sheria ambayo tunapaswa kuitii ni ya kula vyote japo bado damu imekatazwa yaani kisusiyo. Mungu wetu amekuwa akibadilisha Sheria mara Kwa mara kama yeye mtunga Sheria. Yesu alisema waziwazi kwamba watu wanapotea Kwa kutojuwa maandiko na uweza wa Mungu. Kwa maelezo haya mafupi nahisi umepata kitu
Heading inasema kibiblia
Lakini sijaona hata andiko moja umetoa
 
Mapepo yalimwambia Yesu, umetufukuza tuende wapi? Akawaekekeza kwa nguruwe, walipoingia kwa nguruwe walitokomea na nguruwe baharini. Inaonyesha nguruwe wamejaza mapepo. Ukila nguruwe umekula pepo. Mungu kakupa akili ya kujua chema na kibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakosa mambo mazuri sana kwa kutokula nyama ya huyu mdudu.
 
Back
Top Bottom