AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Binadamu wa sasa ni wa aina moja tu ila wamewahi kuwepo binadamu wa aina tofauti zaidi ya tanoKama ilivyokua na aina za ngombe,kuku,mbwa,punda,papa wapo wa aina tofati haswa kutokana na ubora na mapungufu yao hata binadamu TUPO KWA AINA TOFAUTI na hatupo sawa kama dini na sayansi ilivyotuzuga
Ni kama ilivyokuwa binadamu wa ccm na binadamu wengineKama ilivyokua na aina za ngombe,kuku,mbwa,punda,papa wapo wa aina tofati haswa kutokana na ubora na mapungufu yao hata binadamu TUPO KWA AINA TOFAUTI na hatupo sawa kama dini na sayansi ilivyotuzuga