Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!

16 years???? o god??? please help us,,,, where are we going to??Mambo mengine unashindwa hata la kuongea.....
16 years???? o god??? please help us,,,, where are we going to??

Dah....mkanyeni basi kama hata wazazi wake wameshindwa!!Katakuja kuharibiwa uso bado kadogo....
Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!Lizzy kwa maelezo hapo juu... huyu mtoto kaonja asali.. Na huo mchezo ukianzia utotoni ukajua tamu yake.... Kuacha kaazi ipo.... mpaka u-mature na uone kua kumbe si kila kitu...
Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!