mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza magari ya kubeba wagonjwa yanayodaiwa kuwa mabovu.