mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Aisee... mambo ni fayaaRais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza magari ya kubeba wagonjwa yanayodaiwa kuwa mabovu.
Aache kaziMkurugenzi amenyang'anywa vyanzo vya mapato karibu vyote(kodi ya ardhi, mabango, majengo, parking n.k) na OC hapewi atafanyaje kuhudumia madiwani, walimu uhamisho, umeme, ccm, maji n.k? tuache utani Mkurungezi sasahivi hana tofauti na ofisi ya DAS.
Mpigie simuAache kazi
Huyo mkurugenzi amekatika miguu?Sasa Mkurugenzi ataendea nini ofisini
Siyo dhambi ni siasa tu.populism at work!
Bodaboda mkuuSasa Mkurugenzi ataendea nini ofisini
Ndo maana wanakimbilia ubunge, vyeo vya mateso.
Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza magari ya kubeba wagonjwa yanayodaiwa kuwa mabovu.