Wabongo Bwana wanapenda saaana kuagiza Vitu Unapotaka kusafiri kwenda mahali..
Ukienda Mtwara utasikia
"Niletee Korosho"
Ukienda Mbeya utasikia
"Niletee Mchele"
Ukienda Singida utasikia
"niletee Mafuta ya alizeti "
Ukienda Mwanza utasikia
"niletee Sato"
Sasa Leo naenda KIBITI
Niwaletee nini?