Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Unajua Ustadh Gamba la Nyoka, hizi habari unazoleta hapa kwa lugha ya kitaalamu ndo tunaita wishful thinking..Hivi ktk maisha yako umeona wapi watu wanaanika paa kwanza halafu wanajenga msingi baadaye?
Ngekewa,Mode naomba uifute hii thread kwani lengo langu lilikuwa kuzungumza matatizo ya dunia sikutegemea kuwa itatumika kuibuwa ufisadi wa watu kwa imani za wenzao. Naomba uifute kwani nahisi napokea dhambi nisizozitarajia.
duh! yaani hivi kumbe maneno "wishful thinking" ni lugha ya ya kitaalamu!!, kama hivi ndo hali ilivyo basi no wonder ni vigumu kuelewana.
Exhibit 1
Ishaq:365/Tabari VII:94 Muhammad bin Maslamah said, O Messenger, we shall have to tell lies. Say what you like, Muhammad replied. You are absolved, free to say whatever you must.
Ok ninachokiona hapa ni kuwa WEWE NDIYE HUELEWI.
Yaani wewe ktk uzima wa akili yako unataka kutuaminisha kuwa unaweza kutengeza semitrela kwa siku moja ila bajaj kwa mwaka mzima? kha ! wapi logic?
Aliyeandika Koran ni wazi alikuwa akiishi pangoni na wala hamjui Mungu na katu hakuwahi kutumwa naye wala Jibril. Hakuna asiyejua ya baadhi ya milima inavyofanyika. Kuna milima imbayo imesababishwa na matetemeko(tectonix) na imethibitishwa kitaalamu. Lakini yours truly aliyeandika Koran kwa kuwa alikuwa akiishi pangoni hakuwahi kulifikiria hili maana upeo wake unaishia pale macho yake yalipoishia.Waungwana wasema masikio hayazidi kichwa, yakizidi ujue kuna tatizo.
Nimekuuliza the most simplified question, umeona wapi watu wanaanza kujenga paa halafa baadae msingi..umechomoa maana unajua swali litakalofuata. Hata kama milima ingekuwa inajengwa kama mwandishi wa Koran anavyonadi, huwezi kujenga mlima pasi na kukamilisha sehemu huo mlima utakapoketi kitako (lol). Critical path inakataa. Au kwako ni rahisi kuanza kuketi halafu badae ndo waweka kigoda chini yako...😀 😀
Ktk Islamic literature ingine kuna sehemu mwandishi anasema eti milima inasababisha stability. Siwezi kumlaumu waandishi hawa maana mwengine eti alidai kuliona jua likichwa kwenye matope.
Concept kuwa maneno ya Koran ni ya Mungu unaipata wapi? Una ushahidi? Koran ni ya Mwamedi na wapambe wake. Walikuwa wanaweka maono yao humo na wakati mwengine walikuwa hadi wanajistukia. Na ndio maana walikuwa wakijinadi kwa kutumia UWINGI.. Sasa ili kurahisisha mjadala, lete uthibitisho ya kuwa Koran ni kitabu cha Mungu ..utakuwa umetatua utata mkubwa sana. Ila kama unajua huna ushahidi kaa kimya tu, maana hutokuwa wa kwanza kushindwa hili swali.duhh inaonyesha jamaa ufahamu uwezo wa mwenyezi mungu, wanadamu wanaishi kwa mazoea tu ndo maana unaona huo mfano wako ni mgumu kutekelezeka, ila kama tungeumbwa vigoda vikae kichwani sie tukae chini ungeona pia ni miujiza kigoda kukaa chini kisha ukikalie, kama alivyo punda akimbeba mwanadamu sawa lakini ukimbeba punda miujiza,ingekua tumeumbiwe kumbeba punda ingekua sio miujiza,chukulia mfano wa musa alivyoigawa bahari alivyokua na wana wa israel, wewe unadhani kuna mtu anaweza tekeleza katika ulimwengu huu,akili ya mwanadamu ina kikomo kama yalivyo macho yana mpaka/mwisho wa kuona ,hata masikio pia ndo maana mawimbi ya radio hatuwezi ya kamata mpaka tutumie vifaa vya kunasa hayo mawimbi, ndugu yangu mwisho wa kufikiri kwako sio mwisho wa matendo ya mwenyezi mungu.
Concept kuwa maneno ya Koran ni ya Mungu unaipata wapi? Una ushahidi? Koran ni ya Mwamedi na wapambe wake. Walikuwa wanaweka maono yao humo na wakati mwengine walikuwa hadi wanajistukia. Na ndio maana walikuwa wakijinadi kwa kutumia UWINGI.. Sasa ili kurahisisha mjadala, lete uthibitisho ya kuwa Koran ni kitabu cha Mungu ..utakuwa umetatua utata mkubwa sana. Ila kama unajua huna ushahidi kaa kimya tu, maana hutokuwa wa kwanza kushindwa hili swali.
Ila haya hapa chini ndio maneno ya mungu!?
Lev 11:20-21: "All fowls that creep, going upon all four, shall be an abomination unto you."
Fowl do not go upon all four.
Lev 11:6: "And the hare, because he cheweth the cud..."
Hare do not chew the cud.
Deut 14:7: "...as the camel, and the hare, and the coney: for they chew the cud, but divide not the hoof."
For the hare this is wrong on both counts: Hare dont chew the cud and they do divide the "hoof."
Jonah 1:17 says, "...Jonah was in the belly of the fish three days and three nights"
Matt 12:40 says "...Jonas was three days and three nights in the whale's belly..."
whales and fish are not related
Matt 13:31-32: " "the kingdom of heaven is like to a grain of mustard seed which is the least of all seeds, but when it is grown is the greatest among herbs and becometh a tree."
There are 2 significant errors here: first, there are many smaller seeds, like the orchid seed; and second, mustard plants don't grow into trees.
Matt 4:8: " Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them."
Unless the world is flat, altitude simply will not help you see all the kingdoms of the earth.
Hila hii hapa chini kiboko:
Ndipo Yoshua akanena... akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
Yoshua 10:12-13
Maumivu ya kichwa yanakusumbua. Ni nani msemaji katika hizo verses na kwanini? Endelea kuleta burdani.
Concept kuwa maneno ya Koran ni ya Mungu unaipata wapi? Una ushahidi? Koran ni ya Mwamedi na wapambe wake. Walikuwa wanaweka maono yao humo na wakati mwengine walikuwa hadi wanajistukia. Na ndio maana walikuwa wakijinadi kwa kutumia UWINGI.. Sasa ili kurahisisha mjadala, lete uthibitisho ya kuwa Koran ni kitabu cha Mungu ..utakuwa umetatua utata mkubwa sana. Ila kama unajua huna ushahidi kaa kimya tu, maana hutokuwa wa kwanza kushindwa hili swali.
HIZI NDIZO SHAKA NDANI YA KORAN.
Pole basi... tuhadithie wewe yaliyo ya kweli!
sawa,
1. Qur-an ni kitabu cha Mwenyezi mungu logically, maneno ya mungu hayabadiliki badiliki kama zilivyo katiba za nchi zinavyobadilika kutokana na mazingira(ambazo wametunga wanadamu wenye upungufu wa ukamilifu), na Qur-an tokea ishuke ijafanyiwa badiliko lolote lile kwa ajili ni kitabu cha mwenyezi mungu anayefahamu mambo yaliyopita,yaliyopo na yajayo hivyo Qur-an inaendana na wakati wowote wa maisha ya mwanadamu,na Mwenyezi mungu amehaidi kuilinda mpaka mwisho wa dunia
2.Qur-an ndani yake imebashiri mpaka mambo yanayotokea sasa hivi duniani,mfano jinsi gani mvua inavyojitengeneza, elimu ambayo ndo watu wameanza fundishwa mashuleni zamani walikua wanafahamu mvua zinaletwa kimazingara,zamani kulikua hamna uzazi wa mpango lakini ndani ya Qur-an habari hizi zipo na ndo zinazotokea wakati huu,itakua ni suala la ajabu kwa muhamad kuelezea suala la litakalo tokea vizazi vijavyo ikawa sahihi 100%
3.Qur-an iko katika misingi ya uwazi, haina shaka ndani yake kaka kua muislamu uone raha ya Qur-an(ina tiba,maliwazo na muongozo wa maisha yasiyo na frustruation kila kitu kiko wazi),hakika kama ingekua imetungwa na muhamadi lazima ingekua na mambo mengi yaliyojificha.
4.Qur-an imeshushwa makka,je uhuoni utukufu wa makka duniani,jinsi gani Mwenyezi mungu alivyobariki sehemu iliyoshuka kitabu kitukufu, hujiulizi kwa nini uchumi wa dunia umeshikiliwa na mafuta?
Hakuna ukweli ndani ya kitabu chenu chenye shaka na kugushi. Poleni sana kwa kufuata huyo jamaa kigeugeu, aliye wapa paukwa pakawa kibao. lol.