Kiboko cha waisrael?

Hivi toka lini wewe umekuwa ExTreMiSt?

Tangia pale nilipoanza ku'holds extreme views! more than 20 years ago.

Na haswa nilipoanza kuchangia JF... yaani nahisi nipo more than ExTreMiSt. Kungekuwa na neno lingine zaidi ya hilo ningelitumia.
 
Huyo Ahmadinejad mwenyewe wanadai ana asili ya kiyahudi lol.
 
Huyo Ahmadinejad mwenyewe wanadai ana asili ya kiyahudi lol.
Nasikia hata Hitler alikuwa myahudi. So wanakulana wenyewe kwa wenyewe... lol! Lakini jamaa hapingi wayahudi... yeye anapinga serikali ya kidhalimu ya kiyahudi tena walio wachache walio amua kuiba ardhi za watu.
 
Disco kaingia mmasai..lol
 
Tafuta mtu aliyetoroka Mirembe kama wewe mjadiliane..labda mtaelewana.
 
Inaonekana serikali ya kidhalimu ya kiyahudi inaiogopa Iran!
 
Tangia pale nilipoanza ku'holds extreme views! more than 20 years ago.

Na haswa nilipoanza kuchangia JF... yaani nahisi nipo more than ExTreMiSt. Kungekuwa na neno lingine zaidi ya hilo ningelitumia.

Woow, kwahiyo wewe umekuwa mnyenyekevu kwa miaka 20?
 
Nasikia hata Hitler alikuwa myahudi. So wanakulana wenyewe kwa wenyewe... lol! Lakini jamaa hapingi wayahudi... yeye anapinga serikali ya kidhalimu ya kiyahudi tena walio wachache walio amua kuiba ardhi za watu.

Acha pumba wewe. Hitler alikuwa M-austria.
 
Acha pumba wewe. Hitler alikuwa M-austria.

The rumor is that Hitler's paternal grandfather may have been Jewish. According to a Gestapo report, Hitler's father was conceived while Hitler's unmarried grandmother was working for a rich Jewish family.
It is also said that after the annexation of Austria, Hitler ordered an Austrian village to be evacuated of all occupants and used for "target practice."
The artillery turned the village to rubble, including the cemetery containing the graves of Hitler's father and grandmother.
The source for this is Norman Davies' "Europe: A History".
 
Toka lini, mtoto wa kambo akawa na ubavu?
Tatizo lako mwalim wewe unajuwa sana... Akili yako inakupa kuwa Wairan ni Waarabu... lol! Wambie basi waingize mguu! Waone kilichomfanya nyoka akatambaa.
 
Adolf Hitler (German pronunciation: [adɔlf hɪtlɐ], 20 April 1889 – 30 April 1945) was an Austrian-born German politician and the leader of the National Socialist German Workers Party (German: Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei, abbreviated NSDAP), popularly known as the Nazi Party. He was the ruler of Germany from 1933 to 1945, serving as chancellor from 1933 to 1945 and as head of state (Führer und Reichskanzler) from 1934 to 1945.

Kutokana na Wairan, wao wanadai eti mama yake Hitler alikuwa na ujews ndani yake. lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…