Mdogo huyu wa uswazi ameonesha ujasiri wa daraja la kwanza pale alipotamka bayana kwenye "Mr President" yake verse ya 3, inter alia:
...Usihangaike kumtafuta Romaâ¦mi!! Hakimu wa getho
Mwenye sauti ya mamlaka!!! iliyomfikisha Mrombo Keko
Baada ya kukemea ufisadi na sera za Karamagi
Na waliokula jasho letu kwenye migodi ya Buzwagi...
my take;
je mchango wa huyu kijana na watanzania wengine wenye malalamiko dhidi ya utendaji wa kazi wa mramba na karamagi umechangia kuanguka kwao kisiasa kwenye uchaguzi 2010?
je mchango wa huyu kijana na watanzania wengine wenye malalamiko dhidi ya utendaji wa kazi wa mramba na karamagi umechangia kuanguka kwao kisiasa kwenye uchaguzi 2010?
Yes Kijana amefanya kazi kubwa sana. ule wimbo mashairi yake yamesimama vema sana. Ingawa kasi ya ule wimbo ni kubwa sana kiasi cha baadhi ya watu kushindwa kuelewa nini kinaongelea lakini kwa watu makini ujumbe wake ni mkubwa sana. Big up guy