Billgates wa bongo
Member
- Nov 6, 2012
- 96
- 28
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA.
Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa makampuni Tanzania,tumekuja na teknolojia ya kudhibiti kabisa tatizo la mabweni kuteketea kwa moto kila kukicha na kuweka vifaa vya kugundua hali ya majanga ya moto yanapokuwa yanajitokeza bila wahusika kufahamu na pia kuweka na kufanyia service (matengenezo) vifaa mbalimbali vya kuzima moto unapojitokeza ghafla sehemu husika.
Janga hili limekuwa likiongezeka na kuarifiwa kwenye sehemu mbalimbali za nchi yetu kila kunapokucha na kusababisha hasara kubwa kwa binadamu na mali kwa ujumla.
Ashe Creation Company Limited kampuni makini Ofisi zake zipo Dar es salaam, Wilaya ya Ilala,Tabata Dampo tumekuja na mfumo wa Fire Alarm system ambao utatoa taarifa mapema kabisa kabla hata moto kuwaka .
Mfumo huu utakuwa unahisi aina yoyote moshi au ongezeko la joto katika eneo husika . Kiwango cha carbon , joto, na moshi vitaashiria kuwa kuna hali ya hatari.
Mfumo huu umeunganishwa na king'ora pamoja na taa ya strobe ambavyo kwa pamoja vitawaka na kuashiria hali ya hatari kabla hata ya moto kuwaka. Pia tunatoa huduma mbalimbali za vifaa vya usalama kazini. ( tafadhali pitia orodha yetu ya vifaa hapo chini).
Karibu tulinde mabweni ya wanafunzi, nyumba zetu ofisi , viwanda , stoo pamoja na maeno ambayo yana hatari ya kupatwa na moto.
Tunafanya kazi ndani na nje ya nchi na popote pale ulipo huduma zetu zitakufikia.
Wasiloana nasi kupitia namba :
0754370202/0627370202
e-mail; james.lupiano75@gmail.com
ashecreation@gmail.com
ASHER CREATIONS COMPANY LTD
P.O.BOX 1598,
Tabata Dampo,Ilala,
DAR-ES - SALAAM.