Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mkuu dini ni mipango ya watu tu.MASHETANI WAMEIINGILIA DINI YA KIKRISTO NA WANATAKA KUIANGUSHA, NI BUDI WAKRISTO KUSIMAMA IMARA KUISIMAMIA DINI HII, SHETANI APOKONYWE DINI YETU, IRUDISHWE KWENYE MSINGI YAKE MIKUU, THANKS SO MUCH MASAUNI ZIDI KUFUNGIA MATAPELI HAYA, MAJIZI!
Sisi ni nafsi ya muumba!Mkuu dini ni mipango ya watu tu.
OvaSisi ni nafsi ya muumba!
Hivi kwanini kina mwamposa hawakamatwiNabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye.
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku akiomba mamilioni ya fedha kwa waumini wake.
Tofauti na awali, Dibwe ambaye ni raia wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo (DRC) kwa sasa anatoa huduma ya maombezi na kile anachokiita uponyaji kwa njia ya simu, akiomba kulipwa mamilioni hayo kwa waumini wenye matatizo.
Soma pia
>Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali
tofauti ya wao na wewe ni kwamba wao kwa usomi wao wasingejumuisha dini nzima,lakini wewe tofauti yako na mbuzi ni mkia tu.Hii Dini ni ya kitapeli sana ila aha waibiwe tu maana wanajidai wamesoma sana kuna hawajaeleimika kabisa
We huoni saiv ni Ambassador wa Chama, akiondoka na wale kondoo wote CCM imetoboa.Hivi kwanini kina mwamposa hawakamatwi
Kiboko ya wachawi alikuwa haangalii wa dini gani ukijaa anakupapasa.Hii dini watu wanaujinga mwingi sana hata mimi maisha yakinipiga sana nafungua kanisa
Ashakum si matusi, shetani alishaharibu hiyo dini toka ilipotawazwa rasmi kuwa ni dini ya taifa la kirumi, ila hamtaki tu kuuona ukweli! Mnachokijua sasa katika ukristo na Yesu ni kile walichotaka warumi mkijue na kuamini.MASHETANI WAMEIINGILIA DINI YA KIKRISTO NA WANATAKA KUIANGUSHA, NI BUDI WAKRISTO KUSIMAMA IMARA KUISIMAMIA DINI HII, SHETANI APOKONYWE DINI YETU, IRUDISHWE KWENYE MSINGI YAKE MIKUU, THANKS SO MUCH MASAUNI ZIDI KUFUNGIA MATAPELI HAYA, MAJIZI!
Amesha geuza watanzania kama mandondocha na chuma ulete!Huyo jamaaa asiruhusiwe kuingia tena nchini