Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana uwezo kutokana na developer aim, hapa ntaelezea baadhi ya sifa za hizo app;
1. charger unplugged. Kama wewe unapenda kuchaji simu wakati wa usiku basi app yenye hii feature inakufaa. ikiwa set itapiga kelele ya alarm pale tu chaja italapochomolewa. Ni nzuri pia kwa kuchaj simu maeneo ya public kama baa nk.
2. anti-pickpocket- feature hii hufanya kazi kwa ku sense kiasi cha mwanga katika sensor ya mbele ya simu. simu inapokuwa mfukoni huripoti giza na hivyo app hujua simu ipo na mmiliki. Ikitokea mtu akaitoa mfukon kiwizi basi simu itapiga alarm mara 1 na kumkamatisha mwizi. Alarm huzima pale tu unapoweka password ya app hii.
3. anti-movement. hii inatumika pale unapohitaj simu yako isiguswe na mtu. app itaruhusu alarm pale simu inapopatwa mtikisiko kidogo unaoashiria inaondolewa mahali uliopoiweka. hivyo kama unalala na simu unaweka mezani basi mwizi atakapojaribu kuichukua itapiga kelele na haitazima mpaka password iwekwe.
MUHIMU:
Sifa zote hapo hu override screen ya simu yako na kuzuia matumizi ya simu mpaka tu password sahihi itapowekwa.