Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
Ni kolabo la mafundi wawili wa muziki Tanzania Mwana Fa na Alli kiba katika hii nyimbo inayoitwa kiboko yangu.Hakika Ng'ombe hazeeki maini na kwa mbali naona heshima ya bongo flavour inarudi kwa kasi baada ya kuharibiwa na kina nainai na vitorondo a.k.a wababaishaji.
Hakika hizi ndio nyimbo tunazozihitaji na si zile za kuelezea kisa na mikasa ya kishenzi.
Sijui wewe nwenzangu unaizungumziaje hii nyimbo ya kiboko yangu?
"keeping good music alive"that is your job FA!!!