Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
jamani wekeeni link ya nyimbo tudaunlod
Weka link nidaunlod unajua siku hizi mi sipo kivile na mziki bongo fleva ndo kabisa
juzi tu hapa ndo nimejua kwamba fa alikua ana nyimbo inaitwa mfalme baada ya kutoka kiboko yangu
Una chuki na kiba hadi kero!!
Angalia kwenye simu ya demu wako utaukuta tu kaweka ringtone
hahaaaaaaaaa....!!!!!anantaftia mie balyaaaaaa kwa nzengu
dina nzooogooo
hahaaaaaaaaa....!!!!!anantaftia mie balyaaaaaa kwa nzengu
dina nzooogooo
Hahahahhahahhahahha nimejichanganyajeee
Naona aibu mie,ngoja nianze kupanga point za kuomba msamaha
utafiti kumbe we ni noumerrrr"Sitaki mambo yaende kombo na yakienda yawai kurudi, hatuendi nayo hatuwezi shindwa, yaje na wapambe ikibidi........
Haijatoka video kaka,ni editing tu za vijana!!
Hahaha kidogo tu, ila kuna kazi zangu zitatoka mwisho mwa mwaka huu
Teh teh teh