Kibonde afungua baa na stationery

Mmmh bado sijaona point yako, sidhani kama mda wote anakuwa sahihi japokuwa ni mtangazaji mzuri ila ana matatizo ya kuropoka tu, sidhani kama watu wote wote watakuwa wanamponda with no reason..ana mapungufu yake

Anasauti nyororo afu nadhifu, umeiona point au bado????
 
Kupenda sifa na kujifanya kila kitu anajua ndiyo maana anaropoka ropoka ovyo.

Ananikera sana huo uropokaji kujifanya much know
full ujuaji kwenye mambo ya watu
HUYU JAMAA NI PILIPILI YA SHAMBA!!!
 
Cha msingi ni mpiganaji na anajua kucheza na fursa mengine ni minor weakness
 
Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole
Nilidhani unasema mlisoma wote UDSM ningekidharau kabisa hiko chuo kuanzia leo, by the way nimekumbuka huyu alipata division four kwahiyo malango ya pale UDSM ataishia kuyaona kwenye tv tu, maana hata midahalo ya Nkrumah hall hana gutts za kutia pua yake.
 

hahaa nakumbuka watu walibandika hadi results zake pale

pale ndo nilijua mengi kuhusu huyu mjamaa
 
hahaa nakumbuka watu walibandika hadi results zake pale

pale ndo nilijua mengi kuhusu huyu mjamaa
Ujanja mwingi mbele kiza hana lolote huyu bwegge na kinachombeba hapa ni vile amekulia Upanga na watoto wakishuwa wengi ndio wamekamata channel hapa mjini, hivyo zikitokea fursa za kazi ya kupiga porojo za umc lazima wampe childhood wao na kinachomcost hana elimu otherwise angeshapasiwa pande na kuwa na kazi ya maana tu hapa town badala ya ile ya kujichekesha kwa Ruge
 


Mkuu hapo kwenye red bold, nina swali.

Nini tafsiri ya nguli wa habari?

Toa ushuhuda wako kama mfano wa tafsiri hapo juu, ukilinganisaha na maana halisi ya tafsiri.
 
Kuna kipindi alikuwaga anakitangaza nilikuwa sikipendagi sijui kama bado kipo.
 
Tatizo lake anajifanya yeye ndo msemaji wa serikali na kila kitu kujifanya anajua yeye
kidogo siku hizi nafurahi kuona mussa hassan anampa chellenge kidogo wengine walikuwa wanamuogopa sana.
 
Kiwango changu cha wasiwasi huongezeka kwa kiwango cha kutisha ninapomsikiliza Kibonde au Mchomvu........haswa wanapokuwa excited kwenye jambo fulani.......na hofu yangu kubwa huwa ni........sasa Mungu wangu, huyu jamaa anaenda kutamka neno gani hewani ?

Nimewaorodhesha kama watangazaji RISK wawapo live hewani....wanaweza hata kutukana au kukashifu wakiwa on air............ingawa napenda kuwasikiliza.
 
Anapenda kujikosha kwa anaowaamini kuwa atachumia tumbo lake, kiukweli huyu Jamaa anawahudhi wengu kwa umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…