Kibonde afungua baa na stationery

Mtu mwenyewe anaitwa Kibonde, jina lake tu linamsakama.
 
nguli wa taaluma ya habari? nani nguli? kibonde? aaah acha masihara

sauti kweli anayo lakini pia ni nadhifu ila hii haiondoki kwamba Kibonde ni mtu wa kukurupuka, Kibonde ni mtu anayependa kuzungumza jambo halijui na kuna wakati yupo bias sana
 

Mmmmnnnnhhhh
Indeed money can buy love
 
Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole
Aliongea vile kumbe anaishi jirani na mabibo hostel! akili nyingine bana!
 
Ephraim atafanyiwa operation ya meno yajipange sasa hivi kama Ay chongeni sana ye anamake money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…