Kibonde afungua baa na stationery


Point yako iko wapii
 
Asalam aleyykuumm, Asalam aleyykuum....!!
 
heee!can u imagine asilimia kubwa ya wachangia wametumia neno ''kuropoka'' lakini hakuna aliyelitolea ufafanuzi?? embu mmoja ajitolee basi ili tujue anaropokaje.
 

Acha Longolongo! We sema umelipwa shilingi ngapi kumfanyia promo huyu MCHARUKO na MCHAFUZI!
 
heee!can u imagine asilimia kubwa ya wachangia wametumia neno ''kuropoka'' lakini hakuna aliyelitolea ufafanuzi?? embu mmoja ajitolee basi ili tujue anaropokaje.
ina maana neno "kuropoka" ama "mropokaji" wewe hujui maana yake?
 
Mmmh bado sijaona point yako, sidhani kama mda wote anakuwa sahihi japokuwa ni mtangazaji mzuri ila ana matatizo ya kuropoka tu, sidhani kama watu wote wote watakuwa wanamponda with no reason..ana mapungufu yake

Tena makubwa sana
 
Nadhani Aliyeanzisha hii thread miezi hiyo hatimaye jibu amelipata weekend hii. Mungu hamfichi mnafki.
 
Mleta mada design una kaa nyagwa hivi,maana haujitambui kulopoka lopoka kwa kibonde ndio unguli wa habari?....tatizo hamuwasikilizi akina General Ulimwengu,kubenea na Asbat Ngurumo hao ndio manguli wa habari kibonde ni takataka kabisa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole

Mpwa na wewe uligoma?
 
Yani kama kibonde anapata muda wa ku peruzi threads za jf, angekuwa haendelei kuropoka ropoka hovyo...
Evidence tosha kwamba jamaa hapendwi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…