Kibonde aliekimbia toka mlango wa nyuma anaitwa nani?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
pengin ni vizuri ukiomba wenzio wabadilike uanze na wewe
mh kibonde hili nimelisikia pale jiran kwenye bar ya mbele tena marafiki ama wafanyakazi wa clouds
wakiwa wanapata lunch niulize tu kwa mchana yule kabinti kalichochoromoka kwenye mlango wa nyuma
baada ya ajali kanaitwa ani..na je umewasiliana nacho pengine kalikimbilia sehemu isiyo salama kakijua umekufa
tayari..embu tusaidie ceeeeeeleeeeebrettttttttttttttyyyyyyyyyy wao
 
pengin ni vizuri ukiomba wenzio wabadilike uanze na wewe mh kibonde hili nimelisikia pale jiran kwenye bar ya mbele tena marafiki ama wafanyakazi wa clouds wakiwa wanapata lunch niulize tu kwa mchana yule kabinti kalichochoromoka kwenye mlango wa nyuma baada ya ajali kanaitwa ani..na je umewasiliana nacho pengine kalikimbilia sehemu isiyo salama kakijua umekufa tayari..embu tusaidie ceeeeeeleeeeebrettttttttttttttyyyyyyyyyy; wao
 
kijana punguza umbea, wewe ndio uliyemuona huyo binti ungemtafuta huyo kibonde umuulize mwenyewe, nani anajibu la hakika hapa kama sio kuanzisha umbea tu?
 

Mbona twatafutana uchawi jamani? kama alifanikiwa ku sevu basi mwache ni bahati yake
 
kanaboa sana haka kajamaa kwa umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…