Kibonde kaondoka Clouds?

Kuna radio nyingi za kitoto kama clouds blabla siku nzima mara niko kwenye daradara utotooo mara nini bonge sijui uko wapi hakuna faida kupoteza muda tu.

Umeongea ukweli kabisa, yaani ni utoto utoto tu, bora Leo tena, na michezo, hivyo vipindi vingine hovyo kabisa, alafu nakereka sana na namna wanavyoitangaza hayo makondom yao, sijui watu wa maadili wako wapi, eti mpaka mwanafunzi ameingizwa kwenye tangazo, wamekalia ngono tu.
 

Hapa umeandika nini?
 
Unamchukia bure, sio kosa lake. Hana shule ya kutosha.
 
Kibonde na JF bana ... Jina lake likitajwa tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…