Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
nilijua issue kama hii ya cloudz huwezi kukosa kujitokeza
Hoja yangu ililenga kumsahihisha Faiza Fox pale alipomlinganisha Kibonde na Bill Gates. Bottom-line is Gates hakufeli shule bali aliacha (drop-out), ila Kibonde alimaliza shule na akafeli.
Kama alirudia shule, au la amefanikiwa kwenye maisha kiunja unjanja anajua mwenyewe. Inajulikana kabisa kwamba kufeli shule siyo kufeli maisha.
Matunda ya Tido yanaanza kuonekana, kibonde keshaona Clouds nyota yake inafifia ni vizuri aanze mapema.
<br />
<br />
ILIKUWA SHULE YA KATA?
wakuu kwenye huu mjadala wa kibonde mi napita tuu.ila nilicho kundua ingawa jamaa ana madui wengi humu JF pia anao wanaompenda.huwezi kuwa adui wa kila mtu.kama huo mchongo ni kweli,2nahitaji kumpongeza.Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
wakuu kwenye huu mjadala wa kibonde mi napita tuu.ila nilicho kundua ingawa jamaa ana madui wengi humu JF pia anao wanaompenda.huwezi kuwa adui wa kila mtu.kama huo mchongo ni kweli,2nahitaji kumpongeza.
umeonaeeee,shoboo.lolUkiona watu wanakujadili jadili sana basi ujue wanakukubali lakini hawawezi tu kukuambia uso kwa uso. Matokeo yake ndiyo wanaanza vi cheap shots vya - ooh alifeli - ooh anatumia arvs - ooh mlevi na utumbo mwingine kama huo.
Kibonde angekuwa a nobody wala asingekuwa gumzo namna hii. It seldom goes a week without him being the topic of duscussion here. The man is doin' it.
umeonaeeee,shoboo.lol
Al Jazeera walitangaza kazi..hivyo ana haki ya kuomba..! kama ni kweli tumtakie kila la kheri.
Na aendelee tu kutoa vigongo vya kuwatoa nyongo hawa waosha vinywa kwani yuko juu na kama angekuwa chini asingejadiliwa hivi. Mara ya mwisho Scolastica Mazula kuanzishiwa mada humu ilikuwa lini?
hivi clouds wakisemwa unaumia kweli au unapenda tu watu wajue kama upo!
mkuu nimependa signature yako.aisee nimefurahi sana.haya 2endelee.hivi clouds wakisemwa unaumia kweli au unapenda tu watu wajue kama upo!
Kulikuwa na ulazima wa kuniuliza hilo swali au ulipenda tu nijue kuwa na wewe upo?
ulazima ulikuwepo nijue kama unaumia kweli ili watu wapunguze kukuumiza!
<br />hivi clouds wakisemwa unaumia kweli au unapenda tu watu wajue kama upo!
Kufeli sio kifo jamani,wangapi wamefeli na bado wana life gud kuliko waliofaulu?kila mtu huzaliwa na riziki yake kama ipo ipo tu na kama haipo haipo
Huyo Nyani Ngabu ndiyo Kibonde mwenyewe