Binafsi navutiwa sana na aina za Arguments za Nyani Ngabu, maana utamaduni wetu hapa JF huwa tunaupload docs kusupport hoja zetu, sasa bwana Mwita kama huna supporting document to prove your statememt, ni busara ukiomba off time.
Mimi nadhani hii forum itakuwa helpfull kama itakuwa inafika wakati ukiona hoja zako ni dhaifu ukubali kwamba hoja zangu ni dhaifu, kuliko kuugeuza huu uwanja kuwa wa kebehi na kila aina ya vijembe. mimi binafsi members wengi humu wananilazimu kuadopt tabia zao kwa sababu siwezi kuvumilia kebehi.