Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkituchagua chama Makini katika uchgazi mkuu 2025 tutajenga hospitali za kata nchi nzima na kuweka vifaa tiba pamoja na wauguzi, madakitari ili kuwez kuwahudumia watanzania ambapo serikali itagharamia kuwapeleka vijana kwenye vyuo vya nje ya nchi kupata elimu ya afya ili kuja kutoa huduma katika hospitali hizo za kata, Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde