Kibonde siyo kwamba ni kada wa chama,tatizo lake anajifanya anajua kila kitu kumbe hana akili zaidi ya kupepeta mdomo,mi binafsi naamini ana matatizo ya akili,kuna kipindi aliwakebei wanafunzi wa Ifm kuwa wanagomea test kisa wameambiwa wafanye test 3 kwa siku!,akadai ni ajabu kugomea test!inashangaza hajui kuwa test ni sehemu za mitihani,jamani msameheni bure kichwani ni kiazi.