Kibonde ukifukuzwa clouds njoo jiunge taarabu una sauti nzuri

Kibonde ukifukuzwa clouds njoo jiunge taarabu una sauti nzuri

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Aijalishi utafukuzwa ama umestaafu zi mbaya kuendeleza kipaji chako ukiwa uzeeni
mh kibonde nimesikia sauti na unavyoimba taarabu leo kwa kweli una kipaji cha taarabu
si mbaya ukimaliza kazi kwa kustaafu ama kufukuzwa clouds sikuombe mbaya maana akuna alieandikwa
kukalia hiko kiti chako milele uliza ma dj na waandshi walioanza na clouds wako wapi

nakutakia kiwango chema nikiamini haya hutoweza shidwa kuunyanyua vidole juu kama mipasho isemavyo
 
Una sauto nzzuri.. hivi wewe kweli ni Mtanzania?
 
Hivi kapewa ngapi na EL maana alivyokuwa anambrash leo sijaipatia picha!!
 
sauto nzuri huenda mtoa mada katumia lugha ya kejeli kufikisha ujumbe.
sawa na ile novel THE BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN
 
diddy wats wrong with u today?mpotezee tu kibonde asikushughulishe naona unatumia nguvu nyingi kumbomoa!kama vipi mface umpe makavu kuliko kubweka ndani ya gate!
 
mkuu muuza sura kaniboa kweli aisee utazani alikuwa monduli
sasa sijui akatumiwa bahasha na mpesa ili atubwatukie alafu wanapotangaza wanatakiwa kujua vile vipindi ni pesa
wanapoamua kuongea uupumbavu kipindi kizima ni ujinga kabisa huku mwingine akijidai akiwa Mbunge atajitahdi
Mavi yake mpaka awe mbunge
 
Aijalishi utafukuzwa ama umestaafu zi mbaya kuendeleza kipaji chako ukiwa uzeeni
mh kibonde nimesikia sauti na unavyoimba taarabu leo kwa kweli una kipaji cha taarabu
si mbaya ukimaliza kazi kwa kustaafu ama kufukuzwa clouds sikuombe mbaya maana akuna alieandikwa
kukalia hiko kiti chako milele uliza ma dj na waandshi walioanza na clouds wako wapi

nakutakia kiwango chema nikiamini haya hutoweza shidwa kuunyanyua vidole juu kama mipasho isemavyo
marehemu nijulishe jina la kikundi cha taarabu unachokiongoza."kibonde uki......... njoo jiunge taa...." adui yako muombee neema.
 
ww kibonde anasauti nzuri kuliko mrema?!anajitahd lakini hawezi kumfikia mrema*
 
Back
Top Bottom