A
Anonymous
Guest
MALALAMIKO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
Mikopo ya Mama Samia vilipitishwa vikundi saba kata ya Kibondo Mjini waliitwa wakapewa na semina, wakapiga Picha na kushikishwa mabango kwamba wamepokea pesa lakini cha ajabu pesa wamepewa kikundi kimoja na penyewe cha watu wenye uwezo( wauza nyama) lakini walalahoi wametumia gharama na muda lakini wameachwa kwenye mataa.
Tunaomba mzifikishe kwenye mamlaka husika